Back to home

Wafugaji walima mashamba eneobunge la Laikipia Kaskazini

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 2, 2025
1h ago
Baadhi ya jamii za wafugaji katika Eneo Bunge la Laikipia Kaskazini wameanza kukumbatia kilimo cha mimea katika jitihada za kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi.