Back to home

Wakazi wa Kieni wapinga sheria ya kuwazuia kuteka maji msituni

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 2, 2025
1h ago
Wakazi laki tatu kutoka Eneo Bunge la Kieni kaunti ya Nyeri wanaotegemea Miradi ya maji ya kijamii kwa matumizi ya nyumbani na ukulima, wamemtaka waziri wa maji kusitisha kwa mda kutekelezwa kwa sheria mpya ya udhibiti wa utekaji wa maji misituni, wakidai hawakuhusishwa kuziunda