Back to home

Walimu wakuu waliofanikisha wanafunzi kutia fora watuzwa kwa kulipiwa safari ya kuzuru Dubai

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 2, 2025
2h ago
Walimu wakuu wa shule za msingi waliofanikisha matokeo bora ya mitihani katika eneo bunge la Kiharu kaunti ya Murang'a, wametunzwa kwa kulipiwa safari ya kuzuru Dubai kama njia moja ya kuwapa motisha .