Back to home

Makundi 29 yapewa mikopo bila riba kutoka hazina ya wanawake kaunti ya Makueni

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 2, 2025
2h ago
Vikundi 29 vya wanawake katika eneo bunge la Mbooni kaunti ya Makueni vimenufaika na shilingi milioni 8.3 fedha za hazina ya wanawake nchini . Aidha wametakiwa kutumia fedha walizopata vizuri ili kuendelea kuinua hali zao za maisha.