Back to home
Rais Ruto asema “siongezi muda wangu,” apuuza shinikizo za kubadilisha katiba
video
C
Citizen TV (Youtube)December 2, 2025
2h ago
Rais William Ruto amesema kamwe hatakubali mageuzi ya katiba kumpa muda zaidi wa kuhudumu kama Rais. Rais badala yake akisema wale wanaoeneza fikra za kuongeza muda wake wa kuhudumu hawafahamu uzito wa majukumu ya kuwa rais. Matamshi ya rais yakijiri baada ya misururu ya matamshi



