Back to home
Mwanamke Bomba | Florence awasaidia vijana wa kurandaranda Eldoret
video
C
Citizen TV (Youtube)December 2, 2025
2h ago
Watoto wakurandaranda mtaani mara nyingi wamepuuzwa na jamii, huku maisha yao yakisalia ya kuomba omba tu. Ni hali hii iliyompa motisha Mama Florence Akinyi Onyango kuanza kuwashughulikia vijana wa kurandaranda katika mji wa Eldoret kaunti ya Uasin Gishu. Kwa sasa akiwa amewashug




