Back to home
Waswasi kuhusu mahakama: Idara yatafutwa kubadilisha mifumo ili kuwavutia wakenya
video
C
Citizen TV (Youtube)December 2, 2025
2h ago
Idara ya mahakama imetakiwa kubadilisha mifumo yake ili kuwavutia wakenya wengi kutumia huduma zake. Kwa sasa ni asilima 10 tu ya wakenya ambao wanaenda mahakamani kutafuta haki huku asilimia 19 wakisusia huduma za mahakama. Wengi wa wakenya kwa asilimia 71% wanachagua huduma mba




