Back to home
Mkulima Bomet ageukia upanzi wa maparachichi kama suluhu ya kuongeza kipato
video
N
NTV Kenya (Youtube)December 6, 2025
9h ago
Wakulima wa Bomet wanaendelea kutafuta mbinu mbadala za kuongeza kipato na kuboresha maisha yao. Miongoni mwao, Robert Bett wa Boito, anaamini kwamba upanzi wa maparachichi ni suluhu.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans





