Back to home

NTSA yawapokonya leseni madereva 62 wa umma, yawaagiza kufanya upya mtihani wa udereva

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 9, 2025
1h ago
Mamlaka ya usalama barabarani NTSA, imewapokonya leseni madereva 62 wa magari ya usafiri wa umma na kuwaagiza wafanye upya mtihani wa udereva
Advertisement