Back to home

Katibu wa Idara ya afya ya umma Mary Muthoni akutana na wakuu wa afya wa kaunti mbalimbali nchini

video
C
Citizen TV (Youtube)
June 9, 2026
1h ago
Katibu wa Idara ya afya ya umma, Mary Muthoni, afanya mkutano na wakuu wa idara za afya ya umma kutoka kaunti mbalimbali nchini kutathmini kiwango cha utayari dhidi ya ugonjwa wa ebola katika ngazi ya kaunti.
Advertisement