Back to homeWatch Original
Harambee Stars yawasilisha Arusha kwa mchuano wa mataifa manne
video
July 19, 2025
3 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Timu ya taifa soka Harambee Stars imefika jiji Arusha Tanzania tayari kwa mchuano wa mataifa manne kujiandaa kwa dimba la CHAN. Stars iliondoka nchini asubuhi ya leo kwa ndege ya kibinafsi baada ya kuwa kambini kwa siku kumi. Mshambulizi wa Bandari Beja Nyamawi ameachwa nje ya ms..