Back to home

Ripoti ya KNBS inaashiria ukuaji mzuri katika uundaji wa ajira zisizo rasmi

video
July 19, 2025
3 days ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Takwimu za hivi karibuni za ajira kutoka Shirika la Kitaifa la Takwimu (KNBS) kwa Utafiti wa Kiuchumi wa 2025 zinaonesha picha mchanganyiko. Ripoti hiyo inaashiria ukuaji mzuri katika uundaji wa ajira zisizo rasmi na ongezeko dogo katika sekta mamboleo. Subscribe and watch NTV..