Back to home
Waziri Aden Duale aongoza hafla ya uzinduzi wa kamati ya SHA jijini Nairobi
video
C
Citizen TV (Youtube)May 26, 2025
6mo ago
Waziri wa afya Aden Duale leo amezindua kamati maalum ya ushauri kuhusiana na ada na huduma katika bima ya afya ya SHA. Waziri Duale akisema kamati hiyo itaangazia miongoni mwa mambo mengine ada zinazotozwa na madaktari na hata bei ya vifaa vya matibabu nchini. Aidha, kamati hii
Advertisement
Advertisement



