Back to home

Gor Mahia yatoka sare ya Bao 1-1 na AFC Leopards katika debi ya Mashemeji

video
N
NTV Kenya (Youtube)
June 2, 2025
6mo ago
Ndoto ya Gor Mahia ya kuhifadhi taji la ligi kuu ya kandanda humu nchini inazidi kudidimia, baada ya kutoka sare ya bao moja na AFC Leopards katika debi ya mashemeji iliyosakatwa uwanjani Raila Odinga Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get
Advertisement