Back to home

Mwanaharakati Rose Njeri ameachiliwa huru kwa dhamana ya Sh100,000

video
N
NTV Kenya (Youtube)
June 3, 2025
6mo ago
Mwanaharakati Rose Njeri ambaye alikuwa amekamatwa na maafisa wa polisi kwa tuhuma ya kuunda tovuti inayowezesha Wakenya kupinga vipengele tata vya mswada wa fedha wa mwaka 2025 ameachiliwa huru kwa bondi ya shillingi 100,000. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan new
Advertisement