Back to homeWatch Original
Maandalizi ya CHAN 2025 yaendelea Kenya, Uganda na Tanzania
video
June 3, 2025
28 days ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Makatibu wa Baraza la Mawaziri wa Michezo kutoka Kenya, Tanzania na Uganda leo wamefanya kikao na maafisa wa kiufundi na wawakilishi kutoka CAF kuhusiana na maandalizi ya Chan ya mwaka huu 2025 yanayotarajiwa kuanza Agosti. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news t..