Back to homeWatch Original
Kanisa la glory of christ laondolewa kwenye sajili
video
June 4, 2025
10 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Hii ni baada ya kiongozi wake kukemea utekaji nyara Josephat gwajima alilalamikia mateso ya mwangi na atuhaire Tanzania yasema gwajima anachochea wananchi wa tanzania Gwajima pia ni mbunge wa eneo la kawe huko tanzania..