Bunge La Kitaifa laidhinisha Hatua ya Uteuzi na kuapishwa kwa mwenyekiti na makamishna wa IEBC
About this video
Bunge la kitaifa limejadili na kupitisha mapendekezo ya Kamati ya Bunge la Taifa kuhusu Haki na Masuala ya Sheria (JLAC), hatua inayofungua njia kwa uteuzi rasmi na kuapishwa kwa mwenyekiti na makamishna wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini - IEBC. Subscribe to NTV Kenya ch..