Nakuru: Wanaharakati na Wakazi walalamikia kutelekeza mto Molo ambao umejaa taka
About this video
Wanaharakati wa kutunza mazingira pamoja na Wakazi wa Molo wamelalamikia uwongozi wa kaunti ya Nakuru kwa kutelekeza mto Molo ambao uko kwenye hali duni na kujaa taka Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussi..