Back to home

Msafara wa MPESA Sokoni wakamilisha ziara ya Pwani

video
C
Citizen TV (Youtube)
June 6, 2025
6mo ago
Msafara wa Mpesa Sokoni umekamilisha ziara yake ya wiki moja katika Ukanda wa Pwani katika fukwe za Pirates na bustani ya Mama Ngina jijini Mombasa. Hii ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 18 ya huduma za Mpesa nchini.
Advertisement