Back to home
Viongozi wa upinzani wafanya mikutano maeneo ya Pwani huku wakiisuta serikali
video
C
Citizen TV (Youtube)June 6, 2025
6mo ago
Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amelalamilikia kile anasema ni mapendeleo ya maeneo ya bonde la ufa katika ugavi wa rasilimali za miradi ya maendeleo, akidai Rais William Ruto amekuwa akipendelea ngome zake na kutenga maeneo ambayo hayamuungi mkono.
Advertisement



