Back to homeWatch Original
Watu kadhaa wajeruhiwa katika mzozo kuhusu ardhi Narok
video
June 7, 2025
6 days ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Mgogoro wa ardhi katika eneo la biashara la Ngosuani, Narok Kusini, umesababisha makabiliano makali kati ya makundi mawili hasimu, hali iliyosababisha watu kadhaa kujeruhiwa vibaya. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. ..