Wanaharakati watoa hamasa kwa wakazi Kitengela
About this video
Wanaharakati wa kupambana na dhuluma za Kijinzia kwa ushirikiano na afisi ya Seneta Maaluma Peris Tobiko wameenda warsha ya siku moja katika mji wa Kitengela kaunti ya Kajiado kuhamazisha jamii kuhusu namna ya kukabiliana na Dhuluma za Kijinzia.Kwenye Kikao hicho wananchi walieez..