McDonald Mariga, awahakikishia Wakenya kuwa watafanya jitihada za kuinua vipaji mashinani
About this video
Naibu rais wa Shirikisho la Kandanda humu nchini FKF, McDonald Mariga, amewahakikishia Wakenya kuwa watafanya jitihada za kuinua vipaji mashinani. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting..