Back to home

Wakulima wa miwa Nzoia kusubiri zaidi kabla ya kusafirisha miwa kiwandani

video
June 9, 2025
4 days ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wakulima wa zao la miwa wa kiwanda cha Nzoia, na ambao wako na kandarasi na kiwanda hicho kutoka Kaunti ya Bungoma na viungani vyake, watalazimika kusubiri kwa muda zaidi kabla ya kuanza kusafirisha miwa kwenye kiwanda hicho tena. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan..