| Mwanamke Bomba | Dkt Mary Mugambi huwasaidia wajane jijini Nakuru
About this video
Kwenye makala yetu ya mwanamke bomba wiki hii tunamuangazia Dkt. Mary mugambi, ambaye amekuwa nguzo ya msaada kwa wajane katika jamii jijini nakuru. Mary amewasaidia wajane kuelewa nafasi yao kikamilifu kupitia ushauri nasaha na kuwapa sauti. Ameongoza jitihada hizi kwa zaidi ya ..