Cheboswa, Kericho: Wakaazi wakosa dawa na matibabu Kufuatia kufungwa Kwa Zahanati ya eneo hilo
About this video
Wakazi Wa eneo la Cheboswa, hususan Wale Wanaofanya Kazi Katika Shamba la Chai la Nyayo Tea Estate, Wamekuwa Wakikumbwa na Changamoto Kubwa ya upatikanaji wa dawa Kufuatia kufungwa Kwa Zahanati ya eneo hilo bila ilani. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today ..