Harambee Stars yapata ushindi ugenini
About this video
Timu ya taifa ya kandanda Harambee Stars hatimaye ilishinda mechi chini ya kocha Benni McCarthy, ikiifunga Chad 2-1 katika jaribio lao la pili jana usiku. Pambano la kwanza kati ya wawili hao lilimalizika kwa sare tasa siku nne zilizopita...