Back to homeWatch Original
KALRO yaendeleza kilimo cha nyasi Naivasha
video
June 11, 2025
21 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Katika juhudi za kukabiliana na uhaba wa lishe kwa mifugo, Shirika la Utafiti wa Kilimo na Mifugo –KALRO – limeanzisha mradi wa kipekee wa kilimo cha nyasi ya aina ya Lucern huko Naivasha, Kaunti ya Nakuru. Hatua hiyo inalenga kuimarisha ubora wa lishe ya mifugo ili kuwawezes..