Harambee Stars yajiandaa CHAN kwa kuibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Chad
About this video
Kocha Mkuu wa Harambee Stars Benni McCarthy anaamini wanaweza kuendeleza kuandikisha matokeo bora baada ya ushindi wao wa 2-1 dhidi ya Chad wanapojiandaa kwa Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN). Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Ke..