Back to homeWatch Original
Wananchi wato hisia mseto kuhusu bajeti
video
June 12, 2025
18 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Wakenya kutoka maeneo mbalimbali nchini walitoa hisia zao kabla na baada ya kusomwa kwa bajeti. Baadhi wakikosoa serikali huku wengine wakisusia mchakato huo na kuendelea na biashara zao kama kawaida wakidai kuwa hata wanapotoa maoni kuhusu bajeti, hayazingatiwi..