Back to home

Shule ya Nairobi yaelekea mashindano ya kimataifa baada ya ushindi wa kitaifa

video
June 13, 2025
18 days ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Shule moja ya hapa jijini Nairobi inajiandaa kwa shindano la masomo la kimataifa baada ya kuibuka washindi wa makala ya humu chini baada ya kuibuka mabingwa wa jumla katika vitengo vya ''micro junior'' na ''senior'' nchini. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news t..