Back to home
CCTV: Polisi walikawia kumpeleka Ojwang' hospitalini
video
C
Citizen TV (Youtube)June 14, 2025
6mo ago
Runinga ya Citizen imepata picha za kipekee zinazoonyesha namna maafisa wa polisi waliomfikisha marehemu Albert Ojwang' katika hospitali ya Mbagathi hawakuwa na haraka licha ya madai ya polisi kuwa aliondoka kituo cha Central akiwa na majeraha yaliyohitaji huduma za dharura. Kand
Advertisement
Advertisement



