Back to home

Aliyekuwa jaji mkuu David Maraga ataka naibu mkuu wa polisi aondolewe

video
C
Citizen TV (Youtube)
June 16, 2025
5mo ago
Aliyekuwa jaji mkuu David Maraga sasa anataka naibu inspekta jenerali wa polisi eliud lagat aondolewe mamlakani ili uchunguzi wa mauaji ya mwalimu na mwanablogu Albert Ojwang' uweze kufanikishwa. Maraga anatoa wito wa kukamatwa mara moja kwa Lagat, akidai kuwa ushahidi uliopo una
Advertisement