Migori: Wakaazi walalamikia kudukuliwa kwa data
About this video
Kufuatia ongezeko la idadi kubwa ya watu wanaolalamikia data zao za kibinafsi kutolewa bila idhini yao na kusababisha kunyanyaswa na walaghai kundi la vijana kutoka kaunti ya migori sasa linadai majibu kutoka kwa Tume ya Kulinda Data. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Ke..