Maandamano: Mwanamume aliyetambuliwa na mashahidi kama mchuuzi wa barakoa apigwa risasi na polisi
About this video
Mwanamume aliyetambuliwa na mashahidi kama mchuuzi wa maski ambaye alikuwa anawauzia waandamanaji barakoa hizo alipigwa risasi na polisi wakati wa maandamano ya kudai haki kwa mwanablogu na mwalimu Albert Ojwang Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and eve..