Back to home

Wakaazi walalama baada ya miradi muhimu kusahaulika

video
C
Citizen TV (Youtube)
June 18, 2025
5mo ago
Wakazi wa eneo bunge la Butula kaunti ya Busia wanalalamikia kutelekezwa kwa baadhi ya miradi muhimu tangu awamu ya kwanza ya serikali za ugatuzi. Baadhi ya miradi hiyo imeisalia vichakani na kuharibika. Miradi hiyo inajumuisha soko na zahanati ambazo zimewawacha wenyeji wakitaab
Advertisement