Back to home

Wakazi wa Kiambaa walalamikia uharibifu wa Mto Rwaka

video
N
NTV Kenya (Youtube)
June 18, 2025
5mo ago
Wakazi wanaoishi karibu na Mto Rwaka, eneo bunge la Kiambaa, wamelalamikia uharibifu wa mto huo baada ya watu wasiojulikana kumwaga mchanga na kufunga sehemu ya mkondo wa maji. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates,
Advertisement