Back to home

Mohamed Shidiye aidhinishwa na ukoo wa Rer Ali kutoka auliyan

video
June 19, 2025
12 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Katika eneo bunge la lagdera wazee kutoka ukoo wa Rer Ali kutoka Auliyan walimuidhinisha Aliyekuwa Balozi ya Kenya nchini Bostwana Mohamed Shidiye kuwania kiti Cha ugavana mwaka 2027 kaunti ya garissa..