Back to homeWatch Original
Ofisi ya mwanasheria mkuu yakusanya maoni Kericho
video
June 19, 2025
16 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Wakazi katika Kaunti ya Kericho walijitokeza kwa wingi kutoa maoni na mapendekezo ya kurekebisha sheria ya ufisadi, ile ya jinai, na ya kupokea maoni ya wakenya..