Back to homeWatch Original
Gavana wa laikipia azindua mradi wa kusambaza matangi
video
June 19, 2025
13 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Kaunti ya Laikipia ni mojawapo ya maeneo yanayokumbwa na changamoto ya uhaba wa maji. Ili kukabiliana na hali hii, Gavana wa kaunti hiyo Joshua Irungu, ameanzisha mradi maalum wa kugawa matanki ya maji kwa vikundi vya kina mama pamoja na shule mbalimbali...