Back to home

Ufisadi unachangia utovu wa usalama katika taifa

video
C
Citizen TV (Youtube)
June 20, 2025
5mo ago
Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi Nchini (EACC) imewataka maafisa wa usalama na utawala katika ukanda wa Magharibi mwa Kenya kujihepusha na ufisadi katika utekelezaji wa majukumu yao, kama njia moja ya kukuza amani na usalama wa taifa.
Advertisement
Ufisadi unachangia utovu wa usalama katika taifa (Video)