Back to homeWatch Original
Viongozi wa Kenya na Ethiopia wafanya mkutano kakuma
video
June 20, 2025
19 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Viongozi wa ngazi za juu kutoka Kenya na Ethiopia wamekongamana Kakuma Turkana magharibi,kujadili swala Tata la kudorora kwa Amani katika mpaka wa Kenya na Ethiopia katika mpaka wa Todonyang'..