Back to home

Gor Mahia kuwatambua Police FC kwa waride la heshima Jumapili

video
N
NTV Kenya (Youtube)
June 20, 2025
5mo ago
Mabingwa mara 21 wa ligi kuu ya kandanda humu nchini Gor Mahia watawapigia waride la heshima mabingwa wapya Police FC katika mechi ya mwisho ya msimu wa mwaka 2024/25 Jumapili hii uwanjani Ulinzi Sports Complex. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today an
Advertisement