Back to home

Faith Kipyegon ajipanga kuvunja rekodi ya maili moja Paris Juni 26

video
N
NTV Kenya (Youtube)
June 20, 2025
5mo ago
Bingwa mara tatu wa Olimpiki wa mbio za mita 1500 Faith Kipyegon amesema yuko tayari kuvunja rekodi yake ya maili moja atakapojitosa uwanjani Charlety tarehe 26 mwezi huu jijini Paris Ufaransa. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told

More on this topic

Youth and Sports Events in Kenya

The U-20 National Athletics Trials begin, and the Harambee Starlets prepare for the CECAFA Women's Championships as Faith Kipyegon aims to break the mile record in Paris.

3 stories in this topic
View Full Coverage