Back to home

Vijana washauriwa kufanya maandamano ya Amani

video
June 23, 2025
2mo ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Viongozi mbali mbali kutoka kaunti ya Homa bay wamewarai vijana wanaonuia kushiriki maandamano ya ukumbusho wa mwaka Moja tangu wenzao wauwawe kwenye maandamano ya Gen Z mwaka uliopita, kudumisha amani na kutoleta fujo na uharubifu wa mali wakati wa maandamano yao...

Vijana washauriwa kufanya maandamano ya Amani (Video)