Serikali ya Kaunti ya Bungoma kuimarisha vipaji vya vijana
About this video
Waziri wa elimu kaunti ya Bugoma mhandisi Agnes Wachiye amehakikishia vijana katika kaunti hiyo kwamba serikali ya gavana kenneth lusaka imeweka mikakati ya kupiga jeki vipaji miongoni mwa vijana kwa kujenga viwanja vya michezo ambavyo vitawasadia kukukuza talanta zao...