Back to home

Mradi wa Bwawa la Thwake wakamilika kwa asilimia 94.2, watarajiwa kuchukua mwaka mmoja zaidi

video
June 23, 2025
23 days ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Mradi wa Bwawa la Thwake, ambao sasa umekamilika kwa asilimia 94.2, unatarajiwa kuchukua mwaka mmoja zaidi kukamilika rasmi na hivyo kuongeza muda wa utekelezaji takriban miaka kumi tangu kuanzishwa kwake. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday...