Back to homeWatch Original
Idadi kubwa ya wanafunzi waacha masomo Oyugis, Homa bay
video
June 24, 2025
8 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Washika dau wa elimu katika eneo la Oyugis wameeleza wasisi wao kufuatia ongezeko la wanafunzi wanaoacha masomo na kujishughulisha na uchimbaji dhahabu katika eneo hilo. Wito umetolewa kwa vyombo vya usalama kuimarisha doria na kuhakikisha wanafunzi hawarusiwi katika shughuli za ..