Back to home

Wizi wa ng'ombe waongezeka mpakani mwa Nyamira na Bomet

video
June 24, 2025
8 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Baadhi ya wabunge kutoka kaunti ya Nyamira wamelalamikia ongezeko la visa vya wizi wa mifugo, katika eneo la Borabu mpakani mwa kaunti za Nyamira na Bomet. Wakizungumza kwenye hafla ya mchango eneo la Nyansiongo katika eneo bunge la Borabu, viongozi hao wamesema visa hivyo vilivy..